Moja kwa moja

Majadiliano ya Viongozi B ya Baraza la Mazingira la Umoja wa Mataifa yataendeshwa mtandaoni mjini Nairobi, Kenya tarehe 23 Februari, 2021 kuanzia saa tano asubuhi hadi saa nane mchana, saa za Afrika Mashariki (EAT). Tafadhali chakura tena ili kufuatilia programu moja kwa moja. Makala yaliyorekodiwa yatatolewa baada ta hafla hii. 

 

Lugha

Arabic | Chinese | French | Espanol | Russian

 

Utafiti

Toa maoni yako kupitia kwa utafiti huu mdogo ili uweze kusikika. Unaweza kutazama matokeo ya utafiti baada ya kutoa maoni yako. Matokeo hayo pia yatatolewa kwa walioshiriki kwenye mkutano na kwenye mitandao ya kijamii ya Shirika la Mazingira la Umoja wa Mataifa.

 

Stakabadhi za kikao