Kujisajili kwa vyombo vya habari
Kikao cha tano cha Baraza la Mazingira la Umoja wa Mataifa kitaendeshwa mtandaoni kwa mara ya kwanza, Februari 22-23, 2021
Kutokana na janga la korona Nchi Wanachama zilikubali kutumia njia mbili kuendesha UNEA-5: kikao cha mtandaoni (tarehe 22 na tarehe 23 mwezi wa Februari 2021) kitashughulikia masuala nyeti ikijumuisha uidhhinishaji wa Mikakati ya Mda kwenye programu zake na bajeti yake.
Mkutano wa ana kwa ana wa UNEA-5 utafanyika katika makao makuu ya UNEP mjini Nairobi katika mwezi wa Februari mwaka wa 2021. Wafanya uamuzi watashughulikia masuala yanayohitaji majadiliano ya ana kwa ana.
Wanahabari ambao wangependa kushiriki wanashauriwa kujisajili ili kutoa taarifa kuhusu UNEA-5 kupitia linki https://indico.un.org/event/1000068/registrations/4529/
Kwa maelezo zaidi, au mahojiano tafadhali wasiliana na: