Hapa utapata taarifa zilizorekodiwa awali na zilizoandikwa kutoka kwa Nchi Wanachama na Wadau zitakazotumika kwenye kikao cha mtandaoni cha UNEA-5
Taarifa zilizorekodiwa awali ili kutumika kwenye kikao cha mtandaoni cha UNEA-5
Nchi
- Ufaransa, Mheshimiwa Bi. Bérangère ABBA, Waziri wa Bayoanuai
- Thailand, Mheshimiwa Bw. Silpa-archa, Waziri wa Malighafi na Mazingira
- Iceland, Mheshimiwa Bw. Guðmundur Ingi Guðbrandsson, Waziri wa Mazingira na irlighafi
- India, Mheshimiwa Bw. Prakash Javadekar, Waziri wa Mazingira,Misitu na Mabadiliko ya Tabianchi
- Slovakia, Mheshimiwa Bw. Ján Budaj, Waziri wa Mazingira
- Slovenia, Mheshimiwa Andrej Vizjak, Waziri wa Mazingira na Masuala ya Anga
Mashirika
- UNIDO, LI Yong, Meneja Mkuu
- UNEP MAP, Bw. Gaetano Leone, Mratibu wa Mikakati ya Kushughulikia Mediterani-Sekritarieti ya UNEP ya Makubaliano ya Barcelona
- Sekritarieti ya Tambiko la ozoni, Bi. Megumi Seki, Kaimu Katibu Mtendaji
- CMS, Bi. Amy Fraenkel, Katibu Mtendaji
- Makubaliano ya Bamako, Bi. Juliette Biao, Msimamizi wa Sekritarieti ya Makubaliono ya Bamako
Orodha ya taarifa za video za UNEA5
Ili kupitia video mbalimbali zilizorekodiwa hapo awali, tafadhali bonyeza kwenye kidufe kilichoko kwenye sehemu ya juu kulia kwa scrini ya video. T
Taarifa zilizoandikwa
- India, Taarifa za Nchi
- Afrika Kusini, Mheshimiwa Bi. Barbara Creecy, Waziri wa Misitu, Uvuvi na Mazingira wa Jamhuri ya Afrika Kusini
- Monaco, Pr. Alain PIQUEMAL, Conseiller d'Etat na Balozi wa Kudumu wa Monaco kwa UNEP
- Nchi ya Palestine, Mheshimiwa Bw. Jamil Mtoor, Mwenyekiti wa 'Environment Quality Authority'