PATA
MAWAZO
:

Pesa Zako

Chagua benki iliyo na athari chanya – au waulize wajiunge na Muongano wa Benki wa Net-Zero

Zaidi ya benki 100 kutoka nchi 40 zimeahidi kuhakikisha kuwa kampuni wanazokopesha pesa na kuwekeza zinasaidia uchumi wetu kutozalisha gesi ya ukaa kufikia mwaka wa 2050

Soma zaidi kuhusu Muungano wa Benki wa Net-Zero
Elezea marafiki wako

Pakua Programu ya Chukua Sasa kwenye simu yako ili ufuatilie hatua zako za kushughulikia mazingira

Jisajili hapa ili kupata habari za UNEP kuhusu hali ya hewa na mawazo kuhusu njia unazoweza kutumia kusaidia kukabiliana na mabadiliko ya tabianchi.