PATA
MAWAZO
:

Siasa

Shawishi serikali kubadilisha ruzuku kutoka kwa fueli ya visukuku hadi kwa nishati jadidifu na matumizi mazuri ya nishati.

Nchi nyingi bado hutoa ruzuku zaidi kwa nishati ya visukuku, mojawapo ya chanzo kikubwa cha mabadiliko ya tabianchi. Kuanza kutumia nishati jadidifu kikamilifu ni muhimu ili kukabiliana na mabadiliko ya tabianchi. Vivyo hivyo, ni muhimu kukomesha matumizi ya nishati ya makaa ya mawe.

Tazama hotuba ya Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Bwana Antonio Guterres
Elezea marafiki wako

Pakua Programu ya Chukua Sasa kwenye simu yako ili ufuatilie hatua zako za kushughulikia mazingira

Jisajili hapa ili kupata habari za UNEP kuhusu hali ya hewa na mawazo kuhusu njia unazoweza kutumia kusaidia kukabiliana na mabadiliko ya tabianchi.