PATA
MAWAZO
:

Pesa Zako

Toa wito kwa mfuko wa malipo ya uzeeni kujiunga na Muungano wa Wamiliki wa Mali wa Net-Zero.

Zaidi ya wawekezaji 70 na makampuni ya bima yenye uwekezaji wa mali ya matrilioni ya dola wanahakikisha kuwa uwekezaji wanaofanya hautazalisha gesi ya ukaa kufikia mwaka wa 2050. Hakikisha yako ni mojawapo.

Soma zaidi kuhusu Muungano wa Wamiliki wa Mali wa Net-Zero.
Elezea marafiki wako

Pakua Programu ya Chukua Sasa kwenye simu yako ili ufuatilie hatua zako za kushughulikia mazingira

Jisajili hapa ili kupata habari za UNEP kuhusu hali ya hewa na mawazo kuhusu njia unazoweza kutumia kusaidia kukabiliana na mabadiliko ya tabianchi.