PATA
MAWAZO
:

Kazini

Toa wito kwa viongozi wa mashirika kupunguza uzalishaji wa hewa chafu.

Mashirika mengi yanaweza kujitahidi zaidi kupunguza uzalishaji wa hewa chafu kwa kuzingatia utafiti. Himiza viongozi wa mashirika ya biashara kuchukua hatua kwa kuwatumia barua pepe, kuandika barua au kupitia mitandao ya kijamii.

Soma kuhusu kampuni zinazoweka Malengo Yanayozingatia Sayansi
Elezea marafiki wako

Pakua Programu ya Chukua Sasa kwenye simu yako ili ufuatilie hatua zako za kushughulikia mazingira

Jisajili hapa ili kupata habari za UNEP kuhusu hali ya hewa na mawazo kuhusu njia unazoweza kutumia kusaidia kukabiliana na mabadiliko ya tabianchi.