PATA
MAWAZO
:

Maisha Yako Binafsi

Zungumza na marafiki, familia, majirani na mitandao yako.

Toa maoni yako na juhudi zako na mitandao yako. Hii husaidia kuhimiza na kushawishi wenzako. Kwa pamoja mnaweza kupata masuluhisho ya jumla.

Tazama Mshindi wa Tuzo ya UNEP ya Mabingwa wa Dunia Katherine Hayhoe akizungumza na TED kwa TED Countdown
Elezea marafiki wako

Pakua Programu ya Chukua Sasa kwenye simu yako ili ufuatilie hatua zako za kushughulikia mazingira

Jisajili hapa ili kupata habari za UNEP kuhusu hali ya hewa na mawazo kuhusu njia unazoweza kutumia kusaidia kukabiliana na mabadiliko ya tabianchi.