Jamii ya upandaji miti ya Saihanba, Bingwa wa Dunia wa mwaka wa 2017 katika kitengo cha Motisha na Kuchukua Hatua

Jamii ya upandaji miti ya Saihanba, ni Bingwa wa Dunia wa mwaka wa 2017 wa Shirika la Mazingira la Umoja wa Mataifa kutokana na kufanya ardhi iliyoharibika kuzalisha miti mingi.