Jeff Orlowski, Bingwa wa Dunia wa mwaka wa 2017 katika kitengo cha Motisha na Kuchukua Hatua
Mshindi wa tuzo la utengenezaji filamu, Jeff Orlowski, ni Bingwa wa Dunia wa Shirika la Mazingira la Umoja wa Mataifa kutokana na mafanikio yake ya kutuma jumbe nzito kuhusiana na mazingira kwa watazamaji kote ulimwenguni.