Michelle Bachelet: Bingwa wa Dunia wa mwaka wa 2017 katika kitengo cha Uongozi wa Sera
Michelle Bachelet, Rais wa Chile, ni Bingwa wa Dunia wa mwaka wa 2017 kutokana na uongozi wake wa kipekee wa kuunda maeneo ya bahari yaliyohifadhiwa na kukuza nishati jadidifu.