Washindi

Showing 1 - 2 of 2

2 results found

SEKEM
Development initiative

Kisa cha SEKEM kinaanzia jangwani nchini Misri na hema, trekta na piano.

Katika mwaka wa 1977, mwanzilishi wa shirika hili la maendeleo, Ibrahim Abouleish, alirudi nchini Misri baada ya miaka 20 ya kufanya kazi nje ya nchi katika kemia na famakolojia.

Wakati huo, Misri ilikuwa inakabiliwa na mtanziko. Ilihitaji kulisha idadi ya watu…

Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Cochin
Uwanja wa Ndege wa kwanza kutumia nishati ya jua duniani
Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Cochin ni uwanja wa ndege wa kwanza kutumia nishati ya jua duniani. Hutekeleza kazi zake zote kwa kutumia nishati ya jua. Ni uwanja wa ndege mkubwa zaidi na wenye shughuli nyingi zaidi katika jimbo la Kerala nchini India, na pia ni uwanja wa ndege wenye shughuli nyingi zaidi nchini India kwa kuzingatia mlolongo wa…