Washindi Wote

Showing 1 - 2 of 2

2 results found

Amy Bowers Cordalis
Wakili na mwanachama wa Kabila la Kiasili la Yurok mjini California

Wakili na mwanachama wa Kabila la Asili ya Yurok la California, Amy Bowers Cordalis ametumia miongo kadhaa kujitahidi kurejesha mtiririko wa kiasili wa Mto Klamath nchini Marekani.

Mto Klamath, unaopitia katika majimbo ya Oregon na California, hapo awali ulikuwa mkondo wa tatu kwa ukubwa uliozalisha samoni katika Marekani Magharibi.…

Zhejiang
Programu ya Zhejiang ya Matumizi ya Nishati Isiyochafua Mazingira katika Maeneo ya Vijijini

Mkoa wa Zhejiang ulipata jina lake kutoka kwa Mto Zhe, kwa maana ya mto "usionyooka" au "uliopinda". Mito katika mkoa wa Zhejiang ina umuhimu kwa jamii kutoka kitambo, inatiririka kupitia miji ya zamani, kati ya nyumba za jadi zilizo na kuta nyeupe na paa nyeusi, na hunufaisha mashamba ya mpunga. Licha ya hayo, Zhejiang pia ni mojawapo ya mikoa…