Skip to main content
UN Environment Programme
languages
English
العربية
Español
Français
Kiswahili
Português
Русский
简体中文
Tuzo la Mabingwa Duniani
Mabingwa wa Dunia ni tuzo kuu la kimataifa la Umoja wa Mataifa kwa heshima ya mazingira.
Nominate a champion
Upendekezaji wa watakaotuzwa Tuzo la Mabingwa wa Dunia la UNEP mwaka wa 2024 umefunguliwa likiangazia uborejeshaji wa ardhi, kustahimili ukame, kupambana na kuenea kwa majangwa.
Tuzo la Umoja wa Mataifa la ngazi ya juu zaidi linawatuza wanatoa masuluhisho bunifu ya kukomesha uchafuzi wa plastiki
Young Champions
Young Champions of the Earth is a forward-looking prize designed to breathe life into the ambitions of brilliant young environmentalists.
See 2019 winners
Wanaohitajika: Vijana wanaokabiliana na changamoto za aina tatu duniani,
UNEP yatangaza wanamazingira saba wa kipekee kama washindi wa tuzo lake la Vijana Bingwa Duniani