Lini: Juni 26, 2023
Wapi: Kote duniani
Siku ya Kimataifa ya Uhifadhi wa Mifumo ya Ekolojia ya Mikoko huadhimishwa kila mwaka tarehe 26 Julai, na inalenga kuhamasisha kuhusu umuhimu wa mifumo ya ekolojia mikoko kama “mifumo ya ekolojia ya kipekee, maalum na iliyo hatarini” ana kukuza masuluhisho ya kuishughulikia, kuihifadhi na kuitumia kwa njia endelevu.
Siku hii ya kimataifa ilipitishwa na Mkutano Mkuu wa Shirika la Umoja wa Mataifa la Elimu, Sayansi na Utamaduni (UNESCO) mwaka wa 2015.
Nyenzo zaidi:
- Janga la maeneo ya pwani: Mikoko hatarini
- Siku ya Kimataifa ya Mikoko, Juni 26, 2016 Mikoko kwa Siku Zijazo – Kuchangia kwa Ajenda ya 2030 ya Maendeleo Endelevu