Amerika Kaskazini

Afisi ya Amerika Kaskazini ya Shirika la Mazingira la Umoja wa Mataifa inafanya kazi kuleta maendeleo, kuboresha na kufanikisha matumizi ya rasilimali nchini marekani na Kanada.

Latest

Together we must build a fairer, more sustainable planet

Annual Report 2024

Emissions from building sector stopped rising for the first time since 2020

Building Emissions Stabilize

Five ways to reduce waste in the fashion industry

Reduce fashion waste
Changamoto
Amerika Kaskazini imetunukiwa na majangwa, bayoanuai na urembo wa asili. Eneo hili linaongoza duniani katika kubuni na kutumia bidhaa hizo.

Marekani na Kanada zinakabiliwa na changamoto  kwa mazingira zinazoendelea kuongezeka—hii ni pamoja na mabadiliko ya tabia nchi, uchafu baharini mifumo ya uzalishaji na matumizi isiyo endelevu.

Soma zaidi



  • Kuhusu afisi hii
  • Afisi Yetu ya New York

Jifahamishe zaidi kutuhusu na jinsi tunavyofanya kazi

Afisi ya New York ya Shirika la Mazingira la Umoja wa Mataifa imejitolea kama nguzo muhimu cha kuunganisha, na ina ujuzi  wa kuanzisha na kudumisha mahusiano na Sekretarieti ya Umoja wa Mataifa, mashirika ya Umoja wa Mataifa na Taasisi zenye makao makuu New York, ujumbe wa Kudumu kwa Umoja wa Mataifa, mashirika ya uraia, taasisi za elimu na zinginezo.

Jifahamishe zaidi kuhusu afisi ya New York Office.

Last updated: 10 Apr 2025, 08:22