Mabadiliko ya tabianchi ni suala nyeti katika kipindi hihi tunachoishi. Sasa ndio wakata mwafaka wa kushughulikia suala hili. Bado kuna mda wa kukabiliana na mabadiliko ya tabia nchi. Lakini, tunahitaji juhudi nyingi kutoka katika sekta zote katika jamii. Ili kuimarisha juhudi na kuongeza kasi ili kutekeleza Mkataba wa Paris kuhusu Mabadiliko ya Tabianchi, Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa António Guterres atakuwa mwenyeji wa kikao cha Mkutano Mkuu wa wa Kushughulikia Mazingira tarehe 23 Septemba ili kukabiliana na changamoto za hali ya hewa. Mkutano huu utaonyesha jinsi ushirikiano kutoka kwa mataifa na wanasiasa ulivyoimarika na jinsi walivyotayari kuunga mkono ajenda iliopo huku wakikuza uchumi. Haya yote yatasaidia kuonyesha ushirikiano kati ya wafanyabiashara na wanasiasa ulivyo na manufaa kwa nchi, kampuni, miji na mashirika ya uraia. Na suala hili ni muhimu ili kuyafikia malengo ya Mkataba wa Paris na kuyafikia Malengo ya Maendeleo Endelevu.
- Kutuhusu
- Maeneo
-
Angaanga mada
- Hewa
- Cities
- Usalama dhidi ya vimelea
- Teknolojia
- Majanga na mizozo
- Nishati
- Mazingira yanayofanyiwa utafiti
- Haki na usimamizi wa mazingira
- Uchimbaji wa madini
- Food Systems
- Misitu
- Maji
- Jinsia
- Uchumi usiochafua mazingira
- Bahari
- Matumizi bora ya rasilimali
- Malengo ya Maendeleo Endelevu
- Usafiri
- Elimu na Mazingira
- Sayansi na Data