Solar energy is a valuable source of renewable energy

Kushughulikia Tabianchi

UNEP hutoa data ilio na ushahidi wa kisayansi ili kusaidia wakati wa kufanya maamuzi kuhusu sera, hushirikiana na sekta kufanya mabadiliko ya kupunguza hewa ya ukaa, na kutoa mifumo ya ufadhili wa mazingira na kusaidia nchi katika jitihada zake za kukabiliana na kushughulikia hali hii.
UNEP

Dunia inashuhudia janga la madaliko ya tabianchi. Uzalishaji wa hewa ya ukaa usipopungua kwa kasi, ongezeko la joto linaweza kupita nyuzijoto 2.9 katikatka karne hii

Uzalishaji wa hewa ya ukaa usipopungua kwa kasi, ongezeko la joto linaweza kupita nyuzijoto 2.9 katika karne hii, jambo linaloweza kupelekea athari mbaya kwa maisha katika sayari hii. UNEP inatumia mbinu inayozingatia vipengele vinne wa kushughulikia janga la mabadiliko ya tabianchi na kupunguza uzalishaji wa gesi ya ukaa kwa kuzingatia Mkataba wa Paris. Shirika hili;

 

→ hutoa utafiti wa hali ya juu ili kusaidia kufanya maamuzi yanayozingatia sayansi kuhusu mabadiliko ya tabianchi

 

→ hufanya kazi na sekta mbalimbali ili kuwezesha mabadiliko ya kupunguza hewa ya ukaa na kuwa na mustakabali thabiti

 

→ huhakikisha kuna mabadiliko ya haki ili kuwa na ulimwengu usio na hewa ya ukaa kwa kuwezesha jamii kukabianliana na hali ya yewa inayobadilika; na 

 

→ hukuza mfumo endelevu wa ukutafuta ufadhili ili kusaidia nchi kukabiliana na mabadiliko ya tabianchi.

Taarifa kuhusu kushughulikia tabianchi
Mabadiliko ya tabianchi
Ripoti ya Kila Mwaka
Mabadiliko ya tabianchi
Ripoti ya Kila Mwaka
Mabadiliko ya tabianchi
Ripoti ya Kila Mwaka
img
Pitia : Masuluhisho ya UNEP kuzingatia sekta
Mabadiliko ya tabianchi
Interactive
Ubia, mitandao, vituo na programu zinazoshirikiana na UNEP

Kazi yetu kuhusu kushughulikia tabianchi hufanywa kupitia ushirikiano wa sekta ya umma na binafsi, na mara nyingi huhusisha wabia, vituo tunavyoshirikiana navyo, programu na mitandao.

Kwa mawasiliano

The work of UNEP on climate action is led by the Climate Change Division and coordinated by the Climate Action Subprogramme.