Mwongozo wa vitendo
Unakuja hivi karibuni
Ni Mwongozo wa kwanza wa kina wa Vitendo ambao unachanganua Mfumo wa Kimataifa wa Bayoanuai na inaelimisha watu kuhusu hatua zinazoweza kuchukuliwa ili kukabiliana na janga la mazingira.
Tunategemea mazingira ili kuishi. Kuanzia kwa chakula tunachokula hadi kwa maji tunayokunywa hadi kwa tunayotumia kuendeleza maisha yetu - mazingira ni ustawi wetu.
Lakini tuko kwenye njia panda muhimu. Janga la mazingira linatishia uhai wa viumbe vyote Duniani - uharibifu wa bayoanuai unaongezeka kasi ambayo haijawahi kushuhudiwa, our mifumo yetu ya ekolojia ihaharibiwa na manufaa yanayotolewa na mazingira yanapungua kote duniani kutokana na uzalishaji na matumizi yasiyo endelevu ya bidhaa. Uharibifu huu unatishia afya zetu, unadhoofisha uchumi na kuzidisha ukosefu wa usawa katika jamii, na kuweka jamii zilizo hatarini zaidi kuathiriwa katika hatari zaidii.
Kuzuia, kusitisha na kukabiliana naa kupungua kwa asili mbali na kuhutajika kufanyika kwa, ni muhimu. Sasa ni wakati wa kuchukua hatua na sote tuna wajibu wa kutekeleza.
Sisi #GenerationRestoration.
Inasimuliwa na Gisele Bündchen, Balozi wa Nia Njema wa UNEP. Gisele Bündchenni maarufu duniani kama mwanamitindo ni mwanamitindo, mhisani, mwandishi, mama, mwanamazingira na mtetezi wa masuala ya ustawi.
Chukua harua za kutunza mazingira
Jiunge na #GenerationRestoration! Pakua kedi za mitandao ya kijamii na shiriki kujitolea kwako kukabiliana na janga la mazingira.