Washindi Wote

Showing 1 - 9 of 9

9 results found

Amy Bowers Cordalis
Wakili na mwanachama wa Kabila la Kiasili la Yurok mjini California

Wakili na mwanachama wa Kabila la Asili ya Yurok la California, Amy Bowers Cordalis ametumia miongo kadhaa kujitahidi kurejesha mtiririko wa kiasili wa Mto Klamath nchini Marekani.

Mto Klamath, unaopitia katika majimbo ya Oregon na California, hapo awali ulikuwa mkondo wa tatu kwa ukubwa uliozalisha samoni katika Marekani Magharibi.…

Emmanuel Macron
Rais wa Ufaransa

Rais wa Ufaransa, Emmanuel Macron amelipa swala la utunzaji wa mazingira kipau mbele katika ajenda yake ya nchi za kigeni. Anatambuliwa kwa kupigania kuwepo kwa Muungano wa Kimataifa wa Nishati ya Jua na kukuza ushirikiano wa kimataifa ili kushughulikia masuala ya mazingira, na kwa uongozi wake kuhusiana na Mkataba wa Kimataifa wa Mazingira.

Hababi David Attenborough alipokuwa mdogo, alitumia mwingi wa muda wake alipokuwa hafanyi kazi kupitia machimbo yaliyosahaulika maeneo ya mashambani nchini Uingereza huku akiwa na nyundo mkononi. Alichowinda: visukuku vilivyo na amonia, moluska wenye umbo la mzunguko walioishi wakati wa dinosaria.

Kwa Attenborough akiwa kijana, visukuku…

Impossible Foods na Beyond Meat
Impossible Foods na Beyond Meat

Impossible Foods na Beyond Meat walishinda kwa pamoja Tuzo la Mabingwa wa Dunia, katika kitengo cha Sayansi na Ubunifu. Wanatoa vibadala vya kudumu kwa baga za nyama ya ng'ombe ambavyo ni rafiki zaidi kwa mazingira na vinatoa ushindani kwa ladha ya nyama. Washindi hawa wanaamini kuwa haiwezekani kufikia malengo ya Mkataba wa tabia nchi wa Paris…

Joan Carling
Mtetezi wa haki za mazingira na haki za kiasili

Joan Carling amekuwa akipigania haki za ardhi na za mazingira ya watu wa kiasili kwa zaidi ya miaka 20. Alishiriki kikamilifu katika Jukwaa la Mapatano la Umoja wa Mataifa kuhusu Mabadiliko ya Tabia Nchi na REDD+. Amefanya kazi kama Katibu Mkuu wa Mkataba wa Watu wa Asili ya Asia mara mbili. Pia alikuwa mwenyekiti wa Muungano wa Watu wa…

Narendra Modi
Waziri Mkuu wa India

Shirika la Mazingira la Umoja wa Mataifa linamutambua Waziri Mkuu wa India Narendra Modi kwa uungozi wake wa kishujaa kuhusiana na masuala ya mazingira katika ngazi ya kimataifa. Chini ya uongozi wa Narendra Modi, India iliahadi kukomesha matumizi ya plastiki zinazotumiwa tu mara moja katika nchi hiyo kufikia mwaka wa 2022. Waziri Mkuu, Modi,…

SEKEM
Development initiative

Kisa cha SEKEM kinaanzia jangwani nchini Misri na hema, trekta na piano.

Katika mwaka wa 1977, mwanzilishi wa shirika hili la maendeleo, Ibrahim Abouleish, alirudi nchini Misri baada ya miaka 20 ya kufanya kazi nje ya nchi katika kemia na famakolojia.

Wakati huo, Misri ilikuwa inakabiliwa na mtanziko. Ilihitaji kulisha idadi ya watu…

Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Cochin
Uwanja wa Ndege wa kwanza kutumia nishati ya jua duniani
Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Cochin ni uwanja wa ndege wa kwanza kutumia nishati ya jua duniani. Hutekeleza kazi zake zote kwa kutumia nishati ya jua. Ni uwanja wa ndege mkubwa zaidi na wenye shughuli nyingi zaidi katika jimbo la Kerala nchini India, na pia ni uwanja wa ndege wenye shughuli nyingi zaidi nchini India kwa kuzingatia mlolongo wa…
Zhejiang
Programu ya Zhejiang ya Matumizi ya Nishati Isiyochafua Mazingira katika Maeneo ya Vijijini

Mkoa wa Zhejiang ulipata jina lake kutoka kwa Mto Zhe, kwa maana ya mto "usionyooka" au "uliopinda". Mito katika mkoa wa Zhejiang ina umuhimu kwa jamii kutoka kitambo, inatiririka kupitia miji ya zamani, kati ya nyumba za jadi zilizo na kuta nyeupe na paa nyeusi, na hunufaisha mashamba ya mpunga. Licha ya hayo, Zhejiang pia ni mojawapo ya mikoa…