Kitengo hiki hutuza watu binafsi na mashirika ambayo hukabiliana na hali imedumishwa kwa mda mrefu. Washindi katika kitengo hiki wanaonyesha jinsi ambavyo mazingira endelevu yanaweza kuleta manufaa ya kifedha.
Washindi wa tuzo la Mabingwa wa Dunia huchaguliwa na waamuzi wa kimataifa baada ya mapendekezo kutoka kwa uma. Kiwango kikubwa cha mapendekezo yanayotolewa ni ishara ya ongezeko la idadi ya watu wanaoelewa ni nini kinachowezekana na wanaona kuwa kuna fursa ya kutunza na kuboresha mazingira.
Masuluhisho hapo ma watu na mashirika kutoka pembe zote za dunia wanajiteleza kuyatekeleza. Mabingwa wa Dunia hukabiliana na changamoto na kuonyesha kuwa ni utu kujitolea kutunza na kuboresha mazingira yetu kwa dhati. Washindi walichaguliwa kutokana na mchango wao ulioleta mabadiliko kwa mazingira na kuwa mstari mbele kushawishi watu kuchukua hatua dhabiti kwa niaba ya sayari na wanaoishi ndani yake.