Search Results

Showing 21 - 40 of 64

64 results found

Shirika la Mazingira la Umoja wa Mataifa (UNEP) lilitangaza leo kuwa Hababi David Attenborough ndiye mshindi wa Tuzo l

Categorized Under: Global

Video

Hababi David Attenborough ndiye mshindi wa Tuzo la Mabingwa wa Dunia la Mafanikio ya Kudumu kutokana na juhudi zake za utafiti, uandaji wa makala, na uhamasishaji kuhusu utunzaji na uboreshaji wa mazingira.

Categorized Under: Global

Mafanikio Ya Kudumu

Hababi David Attenborough alipokuwa mdogo, alitumia mwingi wa muda wake alipokuwa hafanyi kazi kupitia machimbo yaliyosahaulika maeneo ya mashambani nchini Uingereza huku akiwa na nyundo mkononi. Alichowinda: visukuku vilivyo na amonia, moluska wenye umbo la mzunguko walioishi wakati wa dinosaria.

Kila mwaka tangu mwaka wa 2005, UNEP hutuza watu binafsi na mashirika yanayofanya kazi kupata masuluhisho bunifu na endelevu ya kushughulikia changamoto za aina tatu duniani za mabadiliko ya tabianchi, uharibifu wa mazingira na bayoanuai, na kemikali, uchafuzi na taka.

Tuzo la Mabingwa wa Dunia hutuza watu binafsi, makundi na mashirika ambayo huchukua hatua za kusababisha mabadiliko chanya kwa mazingira. Mwaka huuupendekezaji wa watu

Categorized Under: Global

Huenda ikawa ni tumbili wa jirani aliyeshuka chini kujiunga naye alipokuwa anajifunza piano, au klabu ya wanyamapori aliyoanzisha katika shule ya msingi mjini Kampala, Uganda.  Lakini tangu akiwa mdogo sana, Dkt.

Categorized Under: Global

Mabingwa wa Dunia Mwaka wa 2021 ni sehemu ya historia ya watu ambao juhudi zao zimefanikiwa kusababisha ushindi kwa mazingira ambao umebadilisha jamii zetu kuwa bora zaidi.

Tuzo la Umoja wa Mataifa la ngazi ya juu zaidi mwaka huu linamtuza waziri mkuu, mwanasayansi, wanawake wa kiasili, na mjasiriamali kwa kusababisha mabadiliko chanya kwa mazingira. Mabingwa hawa wa Dunia huhamasisha, kutetea, kuhamasis

Categorized Under: Global

Tuzo la Shirika la Mazingira la Umoja wa Mataifa (UNEP) la Mabingwa wa Dunia hutolewa kwa watu binafsi, makundi ya watu na mashirika ambayo matendo yao yameleta mabadiliko chanya kw

Categorized Under: Global

Tuzo la Vijana Bingwa Duniani hutolewa kila mwaka kwa wajasiriamali saba walio na umri usiozidi miaka 30 walio na maono dhabiti ya kusababisha mabadiliko ya kudumu kwa mazingira. Washindi saba, kutoka katika maeneo mbalimbali kote uli

Categorized Under: Global

Karakana ndogo ya Nzambi Matee mjini Nairobi nchini Kenya imejazwa mabomba ya chuma na vyuma kutoka kwa mashine. 

Categorized Under: Africa

Tuzo la Mabingwa wa Dunia linalotolewa na Umoja wa Mataifa ni tuzo la ngazi ya juu linalotolewa kwa heshima ya mazingira.

Categorized Under: Global

Maono Ya Ujasiriamali

Aina hii ya tuzo hutambua watu binafsi au mashirika ambayo yanayokabiliana na hali iliyopo. Washindi katika nyanja hii huonyesha jinsi uendelevu wa mazingira unavyoendana na matumizi mazuri ya fedha.

Mafanikio Ya Kudumu

Tuzo hili huchaguliwa na kutolewa na Katibu Mkuu Mtendaji wa Shirika la Mazingira la Umoja wa Mataifa (UNEP) Hutambua juhudi zilizochukuliwa pasipo na kusita kwa naiaba ya sayari na wanaoishi ndani yake. Sifa inayoweza kuigwa kutokana na washindi hawa ni kujitolea kwao.

Motisha Na Kuchukua Hatua

Kitengo hiki hutuza watu binafsi na mashirika ambayo hukabiliana na hali imedumishwa kwa mda mrefu. Washindi katika kitengo hiki wanaonyesha jinsi ambavyo mazingira endelevu yanaweza kuleta manufaa ya kifedha.

Sayansi Na Ubunifu

Kitengo hiki cha tuzo hutuzwa watu binafsi au mashirika ambayo kazi zao kuu huimarisha maarifa na teknolojia ya binadamu, na kuathiri mazingira kwa njia chanya.

Uongozi wa sera

Kitengo hiki cha tuzo hutuza watu binafsi au mashirika yanayoshugulikia umma ambayo juhudi na uongozi wake uwezesha kuleta mabadiliko makuu ndani na hata nje ya nchi. 

Showing 21 - 40 of 64