Search Results

Showing 61 - 67 of 67

67 results found

Michelle Bachelet, Rais wa Chile, ni Bingwa wa Dunia wa mwaka wa 2017 kutokana na uongozi wake wa kipekee wa kuunda maeneo ya bahari yaliyohifadhiwa na kukuza nishati jadidifu.

Katika video hii fupi, tazama wakati muhimu kabisa wa Maonyesho ya Tuzo la Mabingwa wa Dunia la Shirika la Mazingira la Umoja wa Mataifa yalioendeshwa na Dia Mirza na Alec Baldwin na yaliyofanyika Septemba 26, 2018 katika mji wa New York City.

Tuzo la Mabingwa wa Dunia hutuza watu binafsi na mashirika ambayo huchukua hatua za kusababisha mabadiliko chanya kwa mazingira. UNEP inatafuta kupendekezwa kwa watu binafsi na mashirika yanayofanya kazi kupata masuluhisho bunifu na endelevu ya kuboresha ardhi, kuimarisha ustahimilivu kwa ukame, na kupambana na kuenea kwa majangwa. 

Nyoka aina ya the black mamba ina sumu mbaya zaidi katika eneo la Kusini mwa jangwa la Afrika. Ukiumwa mara moja unaweza kupoteza maisha yako ndani ya masaa machache.

Nyoka aina ya the black mamba ina sumu mbaya zaidi katika eneo la Kusini mwa jangwa la Afrika. Ukiumwa mara moja unaweza kupoteza maisha yako ndani ya masaa machache.

Categorized Under: Africa

Kupitia kwa ushirikiano, tunaweza kutunza mazingira. Haya ndiyo watu wa kiasili wa Kalinga nchini Ufilipino walidhibitishia ulimwengu walipoweza kukomesha Mradi wa ujenzi wa Bwawa kwa Mto Chico. Hali hii ndiyo iliyomtia motisha Joan Carling kujitolea milele kupigania haki za binadamu wakati wa kufanya maendeleo kwenye ardhi.

Kutoka kwa washindi kutoka nyanjani na viongozi wa taasisi hadi kwa wanasiasa wa kipekee na taasisi za utafiti, UNEP inasherehekea Washindi wanaofanya maamuzi ya kipekee kwa manufaa ya dunia yetu. Tangu kuanzishwa kwake mwaka wa 2005, tuzo la Mabingwa wa Dunia linalotolewa na Umoja wa Mataifa ni tuzo la ngazi ya juu linalotolewa kwa heshima ya mazingira. 

Showing 61 - 67 of 67