Ili kuzuia kutokea kwa mikurupuko zaidi ya magonjwa yanayotokana na wanyama kama vile virusi vya COVID-19, biashara haramu ya bidhaa kutokana na wanyamapori na uharibifu wa makaazi ni sharti visitishwe. Hatuwezi kuendelea kutulia kama kawaida. Ni sharti tufanyie kazi mazingira, wala tusiyadhuru.
Taarifa zinazohusiana
COVID-19 updates from the United Nations Environment Programme