Showing 1 - 5 of 5
5 matokeo yaliyopatikana
Lini: Julai 8 - 17, 2024
Wapi: New York, Marekani
Taarifa kuhusu kujisajili na kushiriki
Kongamano la Kisiasa la Ngazi ya Juu la Maendeleo Endelevu (HLPF) litafanyika kuanzia Jumatatu, tarehe 8 Julai, hadi Jumatano, tarehe 17 Julai mwaka wa 2024, chini ya usimamizi wa Baraza la Kiuchumi na Kijamii (ECOSOC). Hii inajumuisha awamu ya siku tatu ya mawaziri katika kongamano…
Lini: Agosti 14-18, 2023
Wapi: Hoteli ya Ethiopian Skylight, Barabara ya Uwanja wa Ndege, Addis Ababa, Ethiopia
Kaulimbiu: Kuchukua fursa na kuimarisha ushirikiano ili kukabiliana na changamoto za mazingira barani Afrika
Kikao cha kumi na tisa cha kawaida cha AMCEN kitafanyika kuanzia tarehe 14 hadi tarehe 18 Agosti mwaka wa 2023 katika Hoteli ya Ethiopian Skylight…
Lini: Alhamisi Februari 17 2022; 2:00pm EAT/12:00pm CET/6:00am EST
Wapi: Mtandaoni
Muda: Saa moja
Shirika la Mazingira la Umoja wa Mataifa (UNEP) litazindua toleo la mwaka wa 2022 la Ripoti ya Masuala Ibuka: Masuala Ibuka Yanayoathiri Mazingira kwa mkutano na wanahabari mtandaoni tunapoelekea UNEA 5.2.
Ripoti ya UNEP ya Masuala Ibuka imetambulisha na kuangazia…
Kila mwaka, Jukwaa la Kisiasa la Kiwango cha Juu kuhusu Maendeleo Endelevu (HLPF) la Umoja wa Mataifa hufanya mkutano ili kuendeleza ajenda ya Mifumo ya Umoja wa Mataifa inayohusu maendeleo endelevu. Huku COVID-19 ikiendelea kuhangaisha dunia, mkutano wa mwaka huu ni muhimu zaidi. Katika hali ya sintofahamu inayoendelea, HLPF inatoa fursa kwa serikali na mashirika ya uraia kuanza kujadiliana…
Wakati ambapo viongozi duniani wanapokusanyika mjini New York wakati wa kikao cha 74 cha Mkutano Mkuu wa UN, Masuala yanayohusiana na ajenda ya Shirika la Mazingira la Umoja wa Mataifa yatapewa kipao mbele. Ni pamoja na kuonyesha jinsi serikali, mashirika ya uraia, na watu binafsi wanavyoweza kushughulikia mazingira, na kushiriki taarifa kuhusu Malengo ya Maendeleo Endelevu, na pia kuwatuza…
Showing 1 - 5 of 5