24 October 2024 Ripoti

Ripoti ya Pengo la Uzalishaji wa Gesi Chafu ya Mwaka wa 2024

Waandishi: UNEP
Coming Soon

Ripoti ya mwaka huu inaendelea kusisitiza kuhusu umuhimu na uamuzi wa kuimarisha juhudi za kushughulikia mabadiliko ya tabianchi na kutimiza ahadi za kimataifa zinazorandana na malengo ya joto ya Mkataba wa Paris katika awamu ijayo ya Michango Inayoamuliwa na Taifa, inayotarajiwa katika mwaka wa 2025.

Ripoti ya Pengo la Uzalishaji wa Gesi Chafu (EGR) ya Mwaka wa 2024 ni ripoti ya kila mwaka kwa mfululizo ya taasisi ya UNEP ambayo huzinduliwa kabla ya mazungumzo ya kila mwaka kuhusu tabianchi. EGR hufuatilia pengo kati ya mahali ambapo uzalishaji wa hewa chafu duniani unaelekea kwa kuzingatia ahadi za sasa za nchi na ambapo zinafaa kuwa ili kupunguza ongezeko la joto lisizidi nyuzijoto 2 na kulenga kufikia nyuzijoto 1.5 kulingana na malengo ya joto ya Mkataba wa Paris. Kila toleo huchunguza njia za kuziba pengo la uzalishaji wa hewa chafu, na kushughulikia masuala mahususi yanayohitaji kushughulikiwa na umuhimu wake kwa mazungumzo ya kila mwaka.

It’s Climate Crunch Time. It’s Time to Level Up. #EmissionsGap

The future of our planet is at stake. We are in the midst of a climate emergency, and the window to act is closing fast. The 2024 UNEP Emissions Gap Report highlights the stark choices we face: limit global warming to 1.5°C, struggle to adapt to 2°C, or face catastrophic consequences at 2.6°C and beyond.  There are three possible futures based on our collective action—or…