Nchi zimeahidi kuwa zitaboresha zaidi ya hekta bilioni moja ya ardhi iliyoharibiwa –eneo kubwa kuliko Uchina. Sasa ni wakati wa kushughulikia ahadi. Muongo wa UN wa Kuboresha Mifumo ya Ekolojia umezindua wito wa kupendekeza Miradi ya Uboreshaji wa Mazingira Duniani. Serikali na washirika wake wanatakiwa kutuma maombi kufikia Machi 31, 2022.
Tembelea www.decadeonrestoration.org kujifahamisha kuhusu jinsi ya kujiunga na #GenerationRestoration.