UN Photo/Yutaka Nagata
23 Feb 2021 Video Uchunguzi wa mazingira

UNEP kuadhimisha miaka 50 ya kufanya kazi katika mwaka wa 2022

UN Photo/Yutaka Nagata

Tangu mwaka wa 1972, UNEP ni mhamasishaji mkubwa wa masuala ya mazingira duniani.  UNEP huchochea, huhamasisha na kuelimisha ili kukuza uhusiano endelevu kati ya watu na sayari. Mwaka wa 2022 ni maadhimisho ya miaka 50 tangu kuanzishwa kwa UNEP. Nembo maalum ilizinduliwa wakati wa kikao cha tano cha Baraza la Mazingira la Umoja wa Mataifa.

 
Jiunge na mazungumzo mtandaoni ukitumia # UNEP50.

https://www.youtube.com/watch?v=GvqzuhKSg_8&list=PLZ4sOGXTWw8G96HLuM5nNzqlyEcX7FHi2&index=11

Sasa kuliko kipindi kingine chochote, majadiliano na hatua za kimataifa ambazo UNEP inawezesha kuchukuliwa ni muhimu ili kutatua majanga ya sayari tunayokabiliana nayo. Lengo letu ni kuhamasisha, kuelimishana na kuwezesha mataifa na watu kuimarisha maisha yao bila kuhatarisha yale ya vizazi vijavyo.  Tazama jinsi anbavyo tumefanya hivi kwa kipindi cha miaka iliyopita.

 

UNEP@50