Usambaaji wa Magonjwa kama vile Virusi Vipya vya Korona vya COVID-19, kati ya wanyama na binadamu (zoonoses) ni hatari kwa maendeleo ya uchumi, ya wanyama na maisha ya binadamu na kwa udhabiti wa mifumo ya ekolojia. Shirika la Mazingira la Umoja wa Mataifa huunga juhudi za kimataifa za kutunza bayoanuai, kukomesha biashara haramu ya wanyamapori, kuhakikisha kemikali na taka zinashughulikiwa kwa njia salama na kukuza mikakati ya kuimarisha uchumi unaojali mazingira na hali ya hewa.
Changia Mfuko wa Kushughulikia COVID-19.
Taarifa, visa, ripoti, habari za kweli, machapisho yalisosasisishwa kuhusu COVID-19 vyote, vinapatikana hapa.